Home

Latest from the Blog

Wakala wa ufugaji nyuki wilaya ya kalambo

Mr. Jackson sanane kama wakala wa ufugaji nyuki na msambazaji bora wa mazao yatokanayo na nyuki anatoa elimu bora juu ya kujikwamuwa kiuchumi kupitia shughuli hii ya nyuki. Haya mafunzo ya ufugaji bora wa nyuki yametolewa katika mikoa ya kanda za kusini mwa tanzania.songea,rukwa,katavi,na tabora. Shughuri hii inamsaidia mfugaji Kujipatia kipato Kujipata chakula (asali) UwakikaContinue reading “Wakala wa ufugaji nyuki wilaya ya kalambo”

Get new content delivered directly to your inbox.

Create your website at WordPress.com
Get started